Mtaalamu wa kimfumo hachunguzi tu Biblia, imani na maungamo ya kanisa, bali pia maarifa ya walimu wakuu ambao Mungu amewapa kanisa katika historia yote.
Kisababishi cha kutumika katika kuhesabiwa haki kwetu ni imani, lakini tunaposema kwamba tunahesabiwa haki kwa imani pekee, hatumaanishi kwamba imani ni kazi inayostahili, inayoongeza chochote kwenye msingi wa kuhesabiwa haki kwetu.
Je, haki ya kuchagua ni haki isiyo na masharti wala mipaka? Je, tuna haki ya kimaadili kuchagua kile ambacho ni kibaya kimaadili? Kuuliza swali kama hilo ni kulijibu.
Sababu pekee ninayoweza kutoa chini ya mbingu kwa nini mimi ni Mkristo ni kwa sababu mimi ni zawadi ya Baba kwa Mwana, si kwa sababu ya kitu chochote nilichowahi kufanya au ningeweza kufanya.
Kama vile damu ya wale wana-kondoo ilivyowafanya watu wa Israeli kuokolewa kutoka katika ghadhabu ya Mungu, Mwanakondoo wa Mungu aliwakomboa watu wake kutoka kwenye adhabu iliyostahili kwa dhambi zao.
Zaburi moja ya toba, Zaburi 51 iliandikwa na Daudi baada ya kukabiliwa na nabii Nathani. Nathani alitangaza kwamba Daudi alikuwa ametenda dhambi kubwa dhidi ya Mungu kwa kumchukua Bathsheba kuwa mke wake na kwa kumuua mume wake, Uria.
Tovuti huu hutumia vidakuzi ili upate uzoefu mwema. OK
Privacy & Cookies Policy
Privacy Overview
This website uses cookies to improve your experience while you navigate through the website. Out of these cookies, the cookies that are categorized as necessary are stored on your browser as they are essential for the working of basic functionalities of the website. We also use third-party cookies that help us analyze and understand how you use this website. These cookies will be stored in your browser only with your consent. You also have the option to opt-out of these cookies. But opting out of some of these cookies may have an effect on your browsing experience.
Necessary cookies are absolutely essential for the website to function properly. This category only includes cookies that ensures basic functionalities and security features of the website. These cookies do not store any personal information.
Any cookies that may not be particularly necessary for the website to function and is used specifically to collect user personal data via analytics, ads, other embedded contents are termed as non-necessary cookies. It is mandatory to procure user consent prior to running these cookies on your website.