Siku hii inatukumbusha kuwa na shukrani kwa ajili ya zama zetu na kwa mtawa aliyegeuka Mwanamageuzi. Zaidi ya hayo, siku hii inatukumbusha wajibu wetu, jukumu letu, la kuweka mwanga wa injili katikati ya yote tunayofanya.
Martin Luther alikufa Februari, tarehe 18 mwaka wa 1546. Mwezi mmoja kabla, aliandika kwa rafiki akilalamika kuhusu udhaifu wa umri wake, "Mimi, mzee, mchovu, mvivu, nimechoka, ninasikia baridi, natetemeka, na, zaidi ya yote, mtu mwenye jicho moja."
Kazi yetu inatoa ushuhuda na inaashiria yule ambaye kwa mfano wake tumeumbwa. Kazi yetu ni ushuhuda, ikiashiria, kwa Mungu Muumba.
Tovuti huu hutumia vidakuzi ili upate uzoefu mwema. OK
Privacy & Cookies Policy
Privacy Overview
This website uses cookies to improve your experience while you navigate through the website. Out of these cookies, the cookies that are categorized as necessary are stored on your browser as they are essential for the working of basic functionalities of the website. We also use third-party cookies that help us analyze and understand how you use this website. These cookies will be stored in your browser only with your consent. You also have the option to opt-out of these cookies. But opting out of some of these cookies may have an effect on your browsing experience.
Necessary cookies are absolutely essential for the website to function properly. This category only includes cookies that ensures basic functionalities and security features of the website. These cookies do not store any personal information.
Any cookies that may not be particularly necessary for the website to function and is used specifically to collect user personal data via analytics, ads, other embedded contents are termed as non-necessary cookies. It is mandatory to procure user consent prior to running these cookies on your website.